sw_tn/1sa/29/04.md

280 B

usimruhusu aende nasi vitani

"usirihusu jeshi lake liungane na jeshi letu dhidi ya adui zetu"

Kwa jinsi gani mtu huyu angeweza kufanya amani na bwana wake? Siyo kwa gharama ya vichwa vya watu wetu?

"Njia pekee ya Daudi kufanya amani na Bwana wake ni kwa kuua askari wetu!"