sw_tn/1sa/29/03.md

419 B

Hawa Waebrania wanafanya nini hapa?

Yaweza kuwa na maana ya 1) "hukupaswa kuwaruhusu Waebrania hawa, adui zetu kuwa hapa pamoja na sisi." au 2) "Tuambie Waebrania hawa ni akina nani."

Huyu si Daudi ... kwa miaka hii ... hadi leo

Hii ina maana ya "Unatakiwa kufahamu kuwa huyu ni Daudi ... miaka hii. Nimeona ... siku hii.."

nami nimeona hana kosa

"Sijui lolote baya alilolifanya" au "Nimependezwa naye sana"