sw_tn/1sa/28/24.md

211 B

ndama mnono

Ndama ambaye amekua na amelishwa kuwa tayari kwa ajili ya sikukuu maalumu.

yeye ... akaukanda

Alichanganya unga na mafuta, akachanganya ma mikono yake ili kutengeneza unga kwa ajili ya kuoka.