sw_tn/1sa/28/22.md

197 B

sauti ya mjakazi wako mwanamke

Mwanamke anazungumza kwa namna hii kuonesha kuwa anamuheshimu Sauli.

alikataa

"hakukubali" au "hakufanya kama walivyomuomba"

wakamlazimisha

"wakamuhimiza"