sw_tn/1sa/28/20.md

316 B

kwa kuwa siku hiyo alikuwa hajala chakula, hata kwa usiku huo wote

Sauli hakula chakula usiku kabla ya safari kutoka Gilboa mpaka Endori, wala mchana wakati wa safari wala usiku alipokwenda kumtembelea mwanamke.

Nimeyaweka maisha yangu mkononi mwangu na nimeyasikiliza

"Ninaweza kufa kwa sababu nimesikiliza"