sw_tn/1sa/28/05.md

398 B

aliogopa na moyo wake ukatetemeka sana

Maneno haya yana maana sawa na yanasisitiza hofu aliyokuwa nayo.

Urimu

Kuhani mkuu alibeba kura takatifu inayoitwa Urimu na Thumimu katika ngao yake.

kuongea na wafu

Maneno haya yatafsiri kwa neno moja la lugha ya asili. Kama lugha yako ina nono moja kwa mtu anayezungumza na wafu unaweza kutumia neno hilo hapa.

Endori

Hili ni jina la mahali.