sw_tn/1sa/28/03.md

740 B

Sasa Samweli ... na pepo

Mwandishi anaonesha mwanzo wa simulizi ili kumuandaa msomaji kwa ajili ya matukio yanayofuata.

amewafukuza kutoka nchini

Kuondolewa rasmi toka kwenye nchi au mji au kuzuiwa kuingia.

wale walioongea na wafu au pepo

Maneno haya "wale walioongea na wafu" yatafsiri kwa neno moja kwa lugha asili na maneno "wale walioongea na pepo" pia tafsiri neno moja kwa lugha ya asili. Kama lugha yako ina neno moja lenye maana ya wale wanaoongea na pepo au wale wanaoongea na wafu unaweza kutumia maneno haya hapa.

Wafilisti walijikusanya

Baada ya Daudi na Akishi kuzungumza.

akawakusanya Israeli wote pamoja,

"akakusanya jeshi lake lote katika Israeli pamoja"

Shunemu ... Gilboa

Haya ni majina ya mahali.