sw_tn/1sa/28/01.md

24 lines
707 B
Markdown

# jeshi
Kundi kubwa la majeshi.
# Daudi akamwambia Akishi, "Sasa ... kufanya." Akishi akamwambia Daudi, "Basi ... mlinzi."
Neno "basi" linaonesha kuwa mzungumzaji amekubaliana na mtu mwingine kwa aliyoyasema. "Daudi alimwambia Akishi kuwa, 'kwa sababu umesema hivyo, ... fanya.' Akishi akawambia Daudi, 'kwa sababu umefanya hivyi, ... mlinzi.'"
# utajua kile ambacho mtumishi wako anaweza kufanya
Daudi alitaka Akishi afikiri kuwa Daudi atawaua Wafilisti wengi, lakini "mtumishi wako anaweza kufanya" inamaana kuwa Daudi alipanga kuwaua Wafilisti.
# Mtumishi wako
Daudi anazungumza kwa kuonesha heshima kwa Akishi.
# Nitakufanya
Hapa anazungumziwa Daudi.
# mlinzi
"mtu anayemlinda mtu mwingine"