sw_tn/1sa/27/05.md

407 B

Kama nimepata kibali machoni pako

"kama nimekupendeza" au "kama utanitendea wema"

wanipatie mahali

"tafadhali nipatie mahali"

mojawapo ya miji ya nchi

"mojawapo ya miji nje ya jiji"

kwa nini mtumishi wako akae pamoja na wewe katika mji wa kifalme?

"Mimi sio wa muhimu sana mpaka nikae pamoja na wewe katika mji wa kifalme"

Mtumishi wako

Daudi anazungumza kwa kuonesha heshima kwa Akishi.