sw_tn/1sa/26/24.md

451 B

maisha yako yalikuwa ya thamani machoni mwangu

"nimekuonesha kuwa ninakuheshimu"

hivyo maisha yangu yathaminiwe sana machoni pa Bwana

"na Bwana ayathamini maisha yangu kama vile nilivyoyathamini maisha yako"

Na ubarikiwe

"Na Bwana akubariki"

mwanangu

Sauli hakuwa baba yake na Daudi. Sauli anazungumza kama vile alikuwa baba yake na Daudi kuonesha kuwa anataka Daudi amuamini na amtii kama vile Daudi anavyomuamini na kumtii baba yake.