sw_tn/1sa/26/21.md

428 B

Rudi

Yaweza kuwa na maana ya 1) "rudi unitumikie katika mahali pangu" au "rudi nyumbani kwako"

Mwanangu

Sauli hakuwa baba yake na Daudi. Sauli anazungumza kama vile alikuwa baba yake na Daudi kuonesha kuwa anataka Daudi amuamini na amtii kama vile Daudi anavyomuamini na kumtii baba yake.

maisha yangu yalikuwa yenye thamani machoni pak

"umeonesha kuwa unaniheshimu kabisa"

nimetenda upumbavu

"nimekuwa mpumbavu"