sw_tn/1sa/26/15.md

514 B

Wewe siye mtu jasiri?

"wewe ni mtu jasiri"

Ni nani yuko kama wewe katika Israeli?

Swali hili laweza kutafsiriwa kama sentensi likiwa na maana ya 1) Daudi anaendelea kumkemea Abineri "wewe ni mtu mkuu katika Israeli" au 2) Daudi anaendelea kumwambia Abineri "unataka watu wote wafikiri kuwa wewe ni mtu mkuu sana katika Israeli, lakini siyo."

hukumlinda ... mfalme?

Swali hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi. Yaweza kuwa na maan ya 1) Daudi anataka Abneri ajibu au 2) "ulipaswa kumlinda ... mfalme."