sw_tn/1sa/25/41.md

597 B

aliinuka, akainamisha uso

Abigaili aliitikia kwa kuinamisha kichwa. Msomaji anatakiwa afahamu kuwa alikuwa amekwisha simama wanaume wale walipokuwa wakiongea naye.

Tazama, mjakazi wako ni mtumwa aoshaye miguu ya watumishi wa bwana wangu

Abigaili anazungumza hivi kuonesha heshima. "tazama mimi nitakutumikia, mtumishi wa bwana wangu Daudi, kwa kuosha miguu yako"

Akaharakisha na kuamka

Haraka alifanya alichopaswa kufanya kwa ajili ya kujiandaa na safari kisha akaamka.

watumishi wake watano waliofuatana naye

Abigaili alikuwa amepanda kwenye punda lakini watumishi wake walitembea