sw_tn/1sa/25/34.md

391 B

Taarifa ya jumla:

Daudi anakubali zawadi za Abigaili na anakubali kufanya kama alivyoshauriwa.

kwa hakika asinge salia hata mtoto mmoja wa kiume kwa Nabali

"Nisingemuachia Nabali hata mtoto mmoja mwamaume"

akavipokea kutoka mkononi mwake

"akakubali zawadi zote ambazo aliletewa"

nimeisikiliza sauti yako

"nimesikiliza ulichoniambia nifanye" au "nitafanya kama ulivyonishauri"