sw_tn/1sa/25/30.md

16 lines
657 B
Markdown

# Senetensi Unganishi
Abigaili anaendelea kujadiliana na Daudi.
# bwana wangu.... bwana wangu.....bwana wangu...mtumishi wako
Abigaili anazungumzia mwenyewe na Daudi kama kwamba ni watu wawili tofauti kuonyesha kwamba anaheshimu Daudi. "wewe ... wewe ... wewe ... mimi"
# Hii haitakuwa mzigo mkubwa sana kwako
Abigaili anasema kwamba kama Daudi akichagua kutolipa kisasi atakuwa na dhamiri safi wakati Bwana atomfanya awe mfalme wa Israeli. Hii inaweza kuelezwa kwa fomu nzuri. AT "Utakuwa na furaha daima ulifanya kama ulivyofanya"
# Bwana atakapomtendea bwana wangu mema
Hiyo ni, wakati Bwana amemfanya awe mfalme baada ya utawala wa Sauli kuisha.