sw_tn/1sa/25/27.md

668 B

Taarifa ya jumla:

Abigaili anaendelea kumuomba Daudi asikasirike.

zawadi hii

Hata hivyo "zawadi" zilikuwa nyingi.

mtumishi wako ... bwana wangu ... bwana wangu ... kosa la mjakazi wako ... bwana wangu ... bwana wangu

Abigaili anajizungumzia mwenyewe kwa Daudi kama vile ni watu wawili ili kuonesha heshima kwa Daudi.

wapewe vijana

"tafadhali wape vijana"

Hakika Bwana atamfanyia bwana wangu nyumba imara.

"Bwana atahakikisha kuwa wazao wa bwana wangu watatumika kama wafalme.

anapigana vita ya Bwana

"anapigana dhidi ya adui wa Mungu:"

uovu hautaonekana ndani yako

"hakuna mtu atakayekuona ukifanhya uovu wowote" au "hautafanya uovu wowote"