sw_tn/1sa/25/23.md

483 B

Sentensi Unganishi

Mwandishi amekamilisha kutoa maelezo ya historia, hivyo anaendelea na hadithi.

akaweka mbele ya Daudi na akainama chini ya ardhi

Abigaili alikuwa akijinyenyekeza na kuonyesha kwamba angeitii Daudi kwa sababu alikuwa kiongozi mwenye nguvu

nisikilize

"sikia"

bwana wangu.... mtumishi wako....maneno ya mtumishi wako

"wewe ... maneno yangu." Abigaili anazungumzia mwenyewe na Daudi kama kwamba ni watu wawili tofauti kuonyesha kwamba anaheshimu Daudi.