sw_tn/1sa/25/16.md

289 B

Walikuwa ukuta

Watu wa Daudi walikuwa kama ukuta unaozunguka mji ambao unawalinda watu wa mji huo toka kwa adui zao.

ubaya unamvizia bwana wetu

"mtu anapanga kumfanyia mambo maovu bwana wetu"

bwana wetu

Mzungumzaji anazungumza juu ya Daudi kwa kuonesha kuwa anamuheshimu Daudi.