sw_tn/1sa/25/09.md

504 B

vijana wa Daudi

"jeshi la Daudi"

walimwambia Nabali yote haya kwa niaba ya Daudi

"wakampa Nabali ujumbe wote"

Daudi ni nani? Na ni nani mwana wa Yese?

Nabali alimfahamu Daudi ni nani lakini hakutaka kumsaaidia Daudi. "Huyu Daudi mwana wa Yese mnayemzungumzia ni nani ... simfahamu."

wanaotoroka

"wanaowageuka" au "wanaoasi dhidi ya"

mkate wangu

Hapa "mkate" umetumika kama aina yoyote ya chakula.

watu wanaotoka nisikokujua

"watu nisiofahamu wanatoka wapi" au "watu nisiowafahamu"