sw_tn/1sa/25/04.md

350 B

akiwakata manyoya kondoo wake

"kuwanyoa sufu kondoo wake"

mkamsalimie kwa jina langu

"mumsalimie kama ambavyo mimi ningemsalimia nimkiwa pale"

Uishi katika baraka

"ninatamani kuwa uishi katika mafanikio"

Uwe na amani na nyumba yako iwe na amani, na wote ulionao

"ninatamani kuwa amani iwe kwako, kwa nyumba yako na vyote unavyomiliki"