sw_tn/1sa/24/21.md

571 B

hutawakatilia mbali uzao wang baada yangu

"hutawaua wana wangu na familia zao." Ilikuwa ya kawaida kwa mfalme mpya ambaye hakuwa na mstari wa familia uliopita ili kuua watoto wote wa mfalme wa zamani ili kuzuia yeyote kati yao kumsababisha kiti cha enzi.

hautaliharibu jina langu katika nyumba ya baba yangu

Ni muhimu kwa kila familia katika Israeli kuwa na uzao kutoka kizazi hadi kizazi kinachoendelea jina la familia na urithi wa nchi. AT "huwezi kuharibu familia yangu na uzao" au "utaruhusu familia yangu kuishi"

Daudi na watu wawke

"Daudi na jeshi lake"