sw_tn/1sa/24/14.md

585 B

Mfalme wa Israeli ametoka kumuandama nani? Unamsaka nani?

Swali hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi "acha niwaambia mfalme wa Israeli amekuja kumuandama nani. Acha niwaambie ni nani unayemsaka."

Unasaka mzoga wa mbwa

"Unamsaka mtu ambaye hana nguvu kama mbwa aliyekufa"

Unasaka kiroboto

"Unasaka mtu asiye na umuhimu kama kiroboto"

ukaione na ukaitetee sababu yangu

Yaweza kuwa na maana ya 1) "kufanya yaliyo sawa na kutetea sababu yangu" au 2) "kuona kuwa sababu yangu ipo sawa na kupigana kwa ajili yangu"

toka kwenye mkono wako

"ili usiwe na nguvu juu yangu"