sw_tn/1sa/24/03.md

302 B

mazizi ya kondoo

"boma la kondoo"

kujisaidia

"kwenda haja"

pango

hili ni shimo la asili lililopo chini ya ardhi na lenye uwazi kwenye upande wa kilima

Kisha Daudi akainuka na kumnyemelea kwa mbele kimya kimya

"Daudi alichukua hatua; alimnyemelea taratibu"

kunyemelea

kwenda taratibu