sw_tn/1sa/23/13.md

223 B

mia sita

"600"

Sauli akaambiwa

"mtu alimwambia Sauli" au "walimwambia Sauli"

ametoroka

"amemkimbia"

hakumweka mkononi mwake

"hakumruhusu Sauli awe na nguvu juu ya Daudi" au "hakumruhusu Sauli amkamate Daudi"