sw_tn/1sa/22/09.md

296 B

Doegi Mwedomu

jina la mtu. Tafsiri kama katika 21:7.

Nobu..... Ahimeleki

jina la mahali na jina la mwanadamu. Tafsiri kama katika 21:1.

Ahitubu

jina la mtu

Alimwomba BWANA ili apate kumsaidia, na alimpatia

Ahitubu akamwomba Bwana, ili Bwana amsaidie Daudi, na Ahitubu akampa Daudi