sw_tn/1sa/22/03.md

463 B

Kisha Daudi alitoka huko

"Ndipo Daudi akaondoka pango la Adula"

Mispa

Hii ni jina la mji.

nenda pamoja nawe

Daudi alitaka wazazi wake wapate kuishi na mfalme wa Moabu ili Mfalme Sauli asiweze kuwadhuru. Watafsiri wanaweza kueleza maana yake ya msingi kwa kutumia mawazo ya "kuja kukaa na wewe," "kukaa na wewe," au "kuishi hapa na wewe," kama katika UDB.

nenda katika nchi ya Yuda

"nenda kwenye nyumba yako ya Yuda"

Harethi

Hii ni jina la mji.