sw_tn/1sa/20/32.md

613 B

Kwa sababu gani inampasa kuuwawa? Amefanya nini?

Jonathan anajaribu kumtia Sauli kufikiria kwa makini kuhusu kile anachofanya. Hii inaweza kutafsiriwa kama taarifa, na maneno "anapaswa kuuawa" yanaweza kutafsiriwa kwa fomu harisi. AT "Huna sababu nzuri ya kumwua. Hakufanya chochote kibaya." au "huna sababu ya kumwua. Hakufanya chochote kibaya."

siku ya pili ya mwezi

Hii "pili" ni namba ya upeo ambayo inahusu mbili. AT "siku ya pili ya tamasha mwezi"

alimhuzunikia Daudi

Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "alikuwa akimhuzunikia Daudi"

alikuwa amemwaibisha

Hapa "yeye" anaelezea Daudi.