sw_tn/1sa/20/22.md

383 B

Sentensi Unganishi

Yonathai anaendelea kusema na Daudi.

Tazama

Neno "tazama" hapa linaongeza mkazo kwa kifuatavyo. AT "kweli"

Bwana yupo kati yangu na wewe

Maana iwezekanavyo ni 1) "Bwana ni shahidi kati yako na mimi' au "Bwana ataangalia jinsi tunavyogusa" au 2) "Na Bwana awe shahidi kati yako na mimi" au "Je! Bwana angalia jinsi tunavyohusika kila mmoja nyingine" '^^