sw_tn/1sa/20/06.md

373 B

Sentensi Unganishi

Daudi anaendelea kuelezea jaribu analopendekeza.

aliuliza kuondoka kwangu

"aliniuliza kama nitamruhusu aondoke"

anasema ... yeye ni ... ameamua

Neno "yeye" linamaanisha Sauli.

mtumishi wako atakuwa na amani

Daudi anazungumza mwenyewe kama ni mtu mwingine kuonyesha kwamba anamheshimu Yonathani. AT "Mimi, mtumishi wako, nitakuwa na amani"