sw_tn/1sa/20/04.md

255 B

Taarifa za jumla

Daudi anapendekeza jaribu dhidi ya Mfalme Sauli kwa Yonathani

Kesho ni siku ya mwezi mpya

Siku ya kwanza ya mwezi kila mwezi watu walisherehekea na kutoa sadaka kwa Mungu.

hadi siku ya tatu jioni

"mpaka jioni ya siku ya kesho"