sw_tn/1sa/20/03.md

427 B

Nimepata kibali machoni pako

Hapa macho yanawakilisha kuona, na kuona inawakilisha mawazo au hukumu. AT "Nimekupendeza wewe" au "unaniona vizuri"

atakuwa mwenye huzuni

Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "hii itashuhudia yeye" au "atakuwa na huzuni sana"

kuna hatua moja tu kati yangu na mauti

Hapa "hatua kati yangu na mauti" ni msemo ambao unahusu kuwa karibu sana na mauti. AT "Mimi ni karibu sana mauti"