sw_tn/1sa/20/01.md

1.1 KiB

Nimefanya nini? Uovu wangu ni upi? Dhambi yangu ni ipi kwa baba yako, inayofanya atafute kuutoa uhai wangu

Maswali haya matatu yanamaanisha jambo sawa. Daudi anawatumia ili kusisitiza kwamba hakumfanyia chochote kibaya kwa Sauli. Swali hili la uhuishaji linaweza kutafsiriwa kama taarifa. AT "sijafanya chochote kibaya. Sijafanya uovu wowote. Sijafanya dhambi dhidi ya baba yako. Yeye hana sababu ya kuchukua maisha yangu."

kwamba anataka kuutoa uhai wangu?

Hapa "kuchukua maisha yangu" ni maana ya "kuniua."

Mbali na hayo

Hapa "mbali na hayo" ni dhana inayoelezea kwamba si kweli. AT "Hii si kweli"

hakuna chochote kikubwa au kidogo

Maneno "kubwa au ndogo" yanajumuisha kila kitu katikati. AT "hakuna chochote"

Kwa nini inamlazimu baba yangu anifiche jambo hili?

Yonathani anatumia swali hili kusisitiza kwamba Sauli angemwambia kama angepanga kumwua Daudi. Swali hili la uhuishaji linaweza kutafsiriwa kama taarifa. AT "Baba yangu hana sababu ya kuficha jambo hili kwangu" au "Ikiwa jambo hili ni kweli, baba yangu hakika nitanijulishe"

La, siyo hivyo

"Si kweli"