sw_tn/1sa/19/23.md

514 B

Kwa sababu hii, wanasema, "Je! Sauli pia ni mmoja wa manabii?"

Hii ikawa miongoni mwa Waisraeli. Inaonekana watu walisema hii kueleza mshangao wakati mtu bila kutarajia alifanya kitu ambacho hakuwa amefanya kabla. Maana ya swali inaweza kuelezwa waziwazi. Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 10:11. AT "Hiyo ndio sababu wakati watu wanapoona mtu akifanya jambo ambalo haliwezekani, wanasema," Je! Sauli pia ni nabii"

wanasuliza

Hapa "wao" inahusu watu kwa ujumla. Swali lilikuwa maelekezo kati ya watu.