sw_tn/1sa/18/23.md

337 B

Kwenu ninyi mnaona ni jambo dogo kuwa mkwe wa mfalme, mimi ni maskini, na heshima yangu ni ndogo?

mkwe, kwani mimi ni mtu maskini, na ninahesabiwa kidogo? - Daudi anauliza swali hili la kuvutia ili kusisitiza kuwa hastahili kuwa mkwe wa mfalme. AT "Ni jambo kubwa kuwa mkwe wa mfalme, na mimi ni maskini sana na si muhimu kwa hilo."