sw_tn/1sa/18/17.md

598 B

Usije mkono wangu ukawa juu yake, ila acha mkono wa Wafilisti uwe juu yake

Kumharibu mtu kunazungumzwa kama kuwachini ya mtu huyo. Hapa, Sauli anataja kumwua Daudi. AT "Mimi sio nitakaye kumwua; Nitawawezesha Wafilisti kumwua"

Mimi ni nani, na maisha yangu yana nini, au hata maisha ya familia ya baba yangu katika Israeli......kwa mfalme?

Daudi hutumia swali hili la kuvutia ili kusisitiza kuwa hastahili kuwa mkwe wa Sauli. AT "Mimi si mtu na jamaa zangu wala familia ya baba yangu ni muhimu sana kwa Israeli ... kwa mfalme."

mkwe wa mfalme

mkwe wa mfalme - "mume wa binti ya mfalme"