sw_tn/1sa/18/06.md

425 B

kutoka miji yote ya Israeli

Hii ni kufanya kusisitiza idadi kubwa ya wanawake waliokuja. AT "kutoka miji mingi katika Israeli"

wakiwa na matowazi, wenye furaha, na wakiwa na ala za muziki

"kucheza matowazi kwa furaha na ala za muziki"

wakiwa na matowazi

"matowazi" ni ngoma ndogo ya mkono

Na Daudi ameua makumi elfu yake

Kitenzi kinaweza kutolewa kutoka kwenye mstari uliopita. AT "na Daudi ameua makumi elfu"