sw_tn/1sa/18/05.md

386 B

naye alifanikiwa

"naye alifanikiwa"

Jambo hili lilipendeza machoni pa watu na katika macho ya watumishi wa Sauli.

Maneno "mbele ya" na "mbele ya" yanamaanisha kitu kimoja. Maoni ya watu yanasemwa kuwa kitu ambacho wanachokiona kama kizuri au mbaya. AT "Hii ilikuwa ya kupendeza katika maoni ya watu wote na watumishi wa Sauli" au "Hii iliwafaidi watu wote na watumishi wa Sauli"