sw_tn/1sa/18/03.md

345 B

Yonathani akampenda kama roho yake mwenyewe

Hapa "kupendwa" inaonyesha upendo kati ya marafiki, si upendo wa kimapenzi. Neno "nafsi" linawakilisha mtu au maisha ya mtu. Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:1. Wakati "Yonathani alipenda Daudi kama alivyojipenda mwenyewe" au "Yonathani alipenda Daudi kama alipenda maisha yake mwenyewe"