sw_tn/1sa/17/57.md

312 B

mkononi mwake

Hapa anazungumziwa Daudi

wewe ni mtoto wa nani?

"Baba yako ni nani"

Mimi ni mtoto wa mtumishi wako Yese Mbethlehemu

"Baba yangu ni mtumishi wako Yese Mbethlehemu"

Mtumishi wako Yese

Daudi anatumia neno hili "mtumishi wako" kuonesha kuwa baba yake alikuwa mwaminifu kwa mfalme Sauli.