sw_tn/1sa/17/52.md

310 B

Na maiti za Wafilisti walilala katika njia iendayo Shaaraimu

"Na wakawaua Wafilisti na maiti za Wafilisti katika njia iendayo Shaaraimu"

wakateka nyara kambi yao

"Waisraeli waliteka nyara kambi za Wafilisti"

akaliweka vazi la vita katika hema lake

"akaweka vazi la vita la Goliati katika hema yake"