sw_tn/1sa/17/39.md

210 B

upanga wake juu ya vazi lake

"upanga wa Sauli juu ya vazi lake"

fimbo mkononi mwake

Hapa anamuelezea Daudi.

Kombeo lake lilikuwa mkononi mwake

Kombeo ni silaha iliyotumika kwa ajili ya kurusha mawe.