sw_tn/1sa/17/37.md

238 B

kutoka makucha ya simba na makucha ya dubu

Simba na dubu hutumia kucha zao kuvamia hivyo "kucha" inawakilisha kuvamia.

mkono wa Mfilisti

"nguvu za Mfilisti huyu"

chepeo ya shaba

Vazi la kivita lililofunikwa kwa mabamba madogo.