sw_tn/1sa/17/36.md

256 B

Sentensi unganishi

Daudi anaendelea kuzungumza na mfalme Sauli.

Mfilisti asiyetahiriwa

Maneno haya yanaonesha kuwa Goliati hakuwa mtu wa Mungu aliye hai.

atakuwa kama mmoja wao

Daudi ataweza kumuua Mfilisti kama alivyoweza kumuua simba na dubu.