sw_tn/1sa/17/25.md

305 B

Umemuona mtu huyu aliyejitokeza?

"Muangalie mtu huyu aliyejitokeza"

Mfalme

"mfalme wetu"

Binti yake

Huyu ni binti wa mfalme.

atampa ... nyumba ya baba yake

Huyu ni mtu atakayemuua Goliati.

ataifanya familia ya baba yake isilipe kodi katika Israeli.

"hataruhusu familia yake ilipe kodi"