sw_tn/1sa/17/10.md

242 B

Leo ninayapa changamoto majeshi ya Israeli

"Ninalipa changamoto jeshi wa Israeli"

Israeli wote

Hawa ni askari wa Israeli waliokuwepo huko.

walikata tamaa na kuogopa sana

Maneno haya yanamaana moja ya kuonesha walikuwa na hofu kuu.