sw_tn/1sa/17/06.md

263 B

mkuki wa shaba

Huu ni mkuki mdogo ambao upo kwa aliji ya kurushwa.

mpini wa mkuki wake

"mshikio wa mkuki wake"

kamba ya sindano ya mfumaji

"kamba inayozunguka"

Kichwa cha mkuki wake

"Mwanzoni wa mkuki wake"

shekeli mia sita

Yapata kilogramu 7"