sw_tn/1sa/17/04.md

12 lines
240 B
Markdown

# mikono sita na shubiri moja
Mkono mmoja ni sawa na sentimeta 46. Shubiri ni sawa na urefu wa sentimeta 23.
# alivaa dirii ya chuma
"alijilinda mwenyewe kwa kuvaa dirii ya chuma"
# Shekeli elfu tano
Shekeli ni kama ujazo wa gramu 11.