sw_tn/1sa/16/13.md

398 B

pembe yenye mafuta

Pembe ilitumika mara nyingine kama chupa. Chupa ya mafuta ilitumika kwa ajili ya kumpaka mafuta mfalme, kama Samweli alivyofanya kwa Daudi.

Samweli akanyanyuka na kwenda

Hii inaonesha kuwa alinyanyuka baada ya kukaa na kula.

Roho wa Bwana akamwijia Daudi

Roho wa Bwana alimchochea Daudi. Roho wa Bwana alimuwezzesha Daudi kutimiza yote ambayo Bwana alimtaka ayafanye.