sw_tn/1sa/16/11.md

289 B

Yupo mdogo kabisa amesalia

"Bado yupo mtoto wangu mdogo"

hatutakaa chini

"Hatutakaa chini ili tule"

Naye ... muonekano

Hapa msimuliaji anatusimulia kuhusu mtu mwingine katika simulizi.

kijana huyu alikuwa mwekundu

Hii inamaanisha kuwa Daudi alikuwa na mwonekano wenye afya.