sw_tn/1sa/16/06.md

442 B

Walipofika

"Hawa ni Yese na watoto wake"

akamwangalia Eliabu

Samweli alimuangalia Eliabu.

Eliabu

Hili ni jina la moja wa wana wakubwa wa Yese.

amesimama mbele yake

Mbele ya Bwana.

Bwana haangalii kama mtu aangaliavyo.

"Kuangalia" ina maana ya kutathimini jambo.

Kwa kuwa Bwana haangalii ... Bwana anaangalia

"Kwa kuwa mimi Bwana siangalii ... Mimi Bwana naangalia"

Moyo

"Moyo" inawakilisha sehemu ya ndani ya mtu.